Jamani,
Naombeni mbinu za kuwa mchumi, nisitumie pesa hivyo, hali hii inanitesa sana.
Natafuta pesa kwa taabu mnoo. Yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo.
Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M.
Juzi Jana na leo...