Tourbillon ya 2026 ni muundo mpya kabisa kutoka Bugatti tangu kampuni hiyo ilipoungana na kampuni ya Rimac ambayo ni mtengenezaji wa magari ya umeme ya michezo mnamo 2021, na inachukua nafasi ya Chiron. Kwa bei fulani iliyochngamka ya pauni milioni 3.8 (Tsh Bilioni 13.2) unaweza kuliongeza...