Habari wakuu,. Poleni na majukumu ,
Nianze Kwa kusema kuwa Jimbo la Buhigwe ni Moja ya Jimbo ambalo linapokea Miradi mingi ya maendelo Kuliko wilaya nyingi za hapa Tanzania, na Hii ni kutokana na Jimbo Hilo kuwa eneo analozaliwa makamu wa Rais hivyo Hii imechangia sana kupata maendeleo haraka...