buhongwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Mwanza: Hili Dampo la Buhongwa ni chanzo cha Magonjwa ya Tumbo na Kipindupindu

    Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87. Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali wakati linajengwa Mwaka 2020 lilisifiwa kuwa ni sehemu sahihi ya kuhifadhi taka lakini mambo yamebadilika...
  2. A

    KERO Changamoto ya upatikanaji maji kata ya Buhongwa Mwanza-Nyamagana

    Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea. Mradi wa maji wa...
  3. Ego is the Enemy

    Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huu inajengwa na mkandarasi mchina aliyetokea Kenya. Sasa huyu mchina amekuja na wakenya hapa mpaka wadada washika vibendera uelewe. Alikuwepo jamaa mmoja alikuwa akitoa taarif uhamiaji wakija wanapewa sabuni ya roho baadaye...
  4. Reptilia

    Yaliyonikuta pande fulani hivi Buhongwa

    Habari mabibi na mabwana yu heri wa afya natumai hivo, Kwenye yanga sc na USM Alger( A.K.A KWENYE 1- NA- 2) kulingana na uchumi wangu ulivyo uki compare na gharama za madem wa siku hizi bila pesa huwezi kumiliki demu nikaona isiwe kesi kwangu niliamua kujicode mitaa fulani kwenda kupunguza...
  5. Silly

    Igoma - Kishiri - Buhongwa

    Hapa kuna barabara ambalo kimsingi linahudumia watu wengi, na kwa wengi sana limekuwa ni msaada mkubwa kwa kuwawezesha watu kufika Buhongwa bila ya ulazima wa kupita mjini kati. Siku za hivi karibuni linatumika sana hata na magari makubwa na ukweli ni kwamba litakuwa ni msaada mkubwa sana...
  6. kakoyo092

    Barabara ya Buhongwa - Sahwa - Kishiri - Igoma imetelekezwa

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama...
  7. B'REAL

    Panga pangua ya machinga Buhongwa

    Habari wanajavini, leo ilikuwa siku rasmi ya kuwapanga machinga Mwanza, wilaya ya Nyamagana kata ya Buhongwa. Muitikio ulikuwa mkubwa wa wamachinga kufika mapema sana.
Back
Top Bottom