Mimi ni mgeni humu JF naomba ushauri kama kijana wa kiume mwenye kuifikiria kesho yake iliyo bora
Nilimalza kidato cha sita mwaka 2021 sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi hazikua nzuri hivyo niliomba kazi katika supermarket x na kupata.
Sasa ni mwaka wa 2 nafanya kazi lakini suala...