🔹 Eneo: Ishambya, Block D, Bukoba Mjini
🔹 Ukubwa: 1,052 sqm
🔹 Umbali: Dakika chache kutoka lami
🔹 Mandhari: Eneo limeendelea, watu tayari wamejenga
✅ Inafaa kwa matumizi yote – Makazi, biashara n.k.
✅ Miundombinu yote ipo – Maji, umeme, shule, hospitali na huduma nyingine muhimu
📞 Wasiliana...
https://www.youtube.com/watch?v=jkX7xU7oW0A
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, Stephen Byabato, amesema ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba ni miongoni mwa miradi minne iliyopo katika miradi mikubwa ya TACTIC, ambayo itagharimu zaidi ya shilingi bilioni 47, ambapo...
Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini.
Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini .
Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua.
Wananchi wanakuhitaji wewe tu
MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024
📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu
📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa
📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura.
Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye...
DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi...
Mbunge wa Viti Maalum mh Neema Lugangira amewashukuru Sana Waislamu wa Manispaa ya Bukoba kwa kumualika Kuwa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha
Neema amemshukuru Sana Mungu wa Mbinguni akisema alipopata Mwaliko alijitafakari kama Mkatoliki Je nitaweza?! Mungu wa mbinguni akamwezesha
Ikumbukwe...
Mh. Byabato akijibu tuhuma za kugawa mitungi 70 kwa wapiga kura wake bika kukamilika. August 2. 2022 aligawa mitungi 100 nayo bila kukamilika Neema Lugangira viti maalum Kagawa 300 ikiwa imekamilika. Wadau wanauliza kulikoni Mbunge na Waziri agawe mitungi 170 bila kukamilika? Wakati burners na...
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal.
Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI.
Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini.
Kupitia Kikao Hicho Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.