📍Wafanya Usafi Soko la Kemondo.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bukoba Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Andrew Byera kwa kushirikiana na Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku Jumamosi Juni 08, 2024 wameongoza kundi kubwa la wananchi wa Kemondo...