Halima Abdallah Bulembo (born 1 April 1991) is a District Commissioner for Muheza District, Tanga Region. Prior to her appointment, Halima Abdallah Bulembo served as a Special Seats Member of Parliament for Kagera Region in Tanzania. She was appointed to her seat in November 2015, making her the youngest female parliamentarian in the 11th parliament of Tanzania and was in office until October, 2020.
MSHAURI wa RAIS Siasa, Mheshimiwa Abdalah Bulembo jitokeze hadharani kumtetea Januari Makamba baada ya kutumbuliwa na Rais Samia kama ulivyofanya kipindi kile alipolipuliwa na Luhaga MPINA kuhusu kufuta mapato kinyemela kwenye kashfa ya ruzuku ya mafuta ya bilioni 100 kila mwezi, fedha ambazo...
Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa.
Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
Uteuzi uliofanywa juzi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwateua vigogo wanne wa kisiasa kumsaidia katika eneo la siasa na uhusiano wa Jamii umetafsiriwa ni "Kuimarisha safu kuelekea michakato ya kisiasa", hasa uchaguzi Mkuu wa 2025
Vigogo walioteuliwa juzi ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba...
MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!?
Nimemtaja makusudi mwanzilishi wa CCM,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kuvunjilia mbali hizi propoganda zinazotaka kuenezwa kwamba hutakiwi kukosoa chama iwe CCM,CHADEMA,CUF au ACT WAZALENDO.
Na ukumbuke...
Chama cha mapinduzi kilikuwa na shule nyingi ma mali nyingi tu zilizokuwa chini ya jumuia ya wazazi.
Abadala Bulembo na wakora wenzake ndani ya CCM wakazitafuna na kujaza matumbo yao. Leo hii anajinasibu kupiga kelele kuziba wanaopinga ufisadi bila aibu.
Ina maana anataka kuaminisha watu kuwa...
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.
Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.
Kaufyata?!
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.
Marocha alisema shule...
Tulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile.
Kumbe Wahuni aliowasema Polepole ni pamoja na Bulembo.....
"Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya @ccm_tanzania ) " @hpolepole https://t.co/y8F1t3J0Y9
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.
"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8 vinginevyo waombe sana mwenyekiti wa CCM awakingie kifua.
Hawa wazee wana roho za kikatili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.