Bulk messaging is the dissemination of large numbers of SMS messages for delivery to mobile phone terminals. It is used by media companies, enterprises, banks (for marketing and fraud control) and consumer brands for a variety of purposes including entertainment, enterprise and mobile marketing.
Bulk messaging is commonly used for alerts, reminders, marketing but also for information and communication between both staff and customers.
Vodacom Tanzania
Tafadhali, nime subscribe kifurushi cha sms 10,000 kwa sababu ninahitaji kutuma sms kwa watu wengi..ajabu nikituma msg chache tu mtandao unablock.
Naambiwa mpaka niombe huduma ya kutuma bulk sms. Niliponunua msg zote hizo hapakuwa na msg ya alert kuwa nahitaji kuapply tena...
Bulk SMS ni huduma ya kutuma ujumbe wa maandishi kwa watu wengi kwa wakati mmoja kupitia simu za mkononi. Huduma hii inatumiwa na makampuni, mashirika, au hata watu binafsi kutuma ujumbe mfupi kwa kundi kubwa la watu, kama vile wateja, wanachama, au wafanyakazi.inatumia sender ID yako...
Wadau!
Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi.
Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13...
Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu.
NB: Tayari nimeshapata sender...
SALAM WAKUU
Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms
Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka...
Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS. Nataka nijiunga na huduma hiyo. so natka kufahamu vigezo, Company nzuri zinazofanya pamoja na gharama zake. nitashukuru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.