bulk sms

Bulk messaging is the dissemination of large numbers of SMS messages for delivery to mobile phone terminals. It is used by media companies, enterprises, banks (for marketing and fraud control) and consumer brands for a variety of purposes including entertainment, enterprise and mobile marketing.
Bulk messaging is commonly used for alerts, reminders, marketing but also for information and communication between both staff and customers.

View More On Wikipedia.org
  1. Vodacom Bulk sms

    Vodacom Tanzania Tafadhali, nime subscribe kifurushi cha sms 10,000 kwa sababu ninahitaji kutuma sms kwa watu wengi..ajabu nikituma msg chache tu mtandao unablock. Naambiwa mpaka niombe huduma ya kutuma bulk sms. Niliponunua msg zote hizo hapakuwa na msg ya alert kuwa nahitaji kuapply tena...
  2. Unajua Umuhimu wa BULK SMS?

    Bulk SMS ni huduma ya kutuma ujumbe wa maandishi kwa watu wengi kwa wakati mmoja kupitia simu za mkononi. Huduma hii inatumiwa na makampuni, mashirika, au hata watu binafsi kutuma ujumbe mfupi kwa kundi kubwa la watu, kama vile wateja, wanachama, au wafanyakazi.inatumia sender ID yako...
  3. Natafuta Bulk SMS Provider ambaye ana bei nafuu

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi. Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13...
  4. Msaada kuhusu Bulk SMS

    Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu. NB: Tayari nimeshapata sender...
  5. Namna nzuri ya kutumia Marketing sms (bulk sms)

    SALAM WAKUU Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka...
  6. Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS

    Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS. Nataka nijiunga na huduma hiyo. so natka kufahamu vigezo, Company nzuri zinazofanya pamoja na gharama zake. nitashukuru
  7. Nawezaje kutuma sms moja kwa watu wengi (bulk sms) software?

    Hello wakuu hakuna software ya kutumia mfano watu 1000 message kwa wakati mmoja kama IPO ya free itapendeza sana kama ilivyo manychat kwa fb messenger
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…