bunge afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  2. BARD AI

    Jacob Zuma na chama chake watangaza kuunganisha nguvu na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kuikwamisha Serikali

    AFRIKA KUSINI: Rais wa zamani na Kiongozi wa chama kipya cha uMkhonto weSizwe (MK), Jacob Zuma amesema chama chake kitaungana na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kupinga Ushirikiano wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya Chama Tawala cha ANC Zuma ameendelea na msimamo kuwa Uchaguzi Mkuu wa...
Back
Top Bottom