bunge afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  2. Jacob Zuma na chama chake watangaza kuunganisha nguvu na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kuikwamisha Serikali

    AFRIKA KUSINI: Rais wa zamani na Kiongozi wa chama kipya cha uMkhonto weSizwe (MK), Jacob Zuma amesema chama chake kitaungana na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kupinga Ushirikiano wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya Chama Tawala cha ANC Zuma ameendelea na msimamo kuwa Uchaguzi Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…