Wakuu
Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki, leo mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha 10 linaendelea ambapo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu itakuwa ni zamu ya kamati nyingine mbili za kudumu za Bunge kuwasilisha taarifa zao kwa kipindi cha...