Swali la John Marwa: Wabunge mmefanya kwa nafasi gani kuiwajibisha serikali ikiwa mpo wa chama kimoja bila upinzani
Eric Shigongo: "Mimi nimeenda bungeni nikijua kazi zangu ni tatu ya kwanza kutunga sheria ya pili kuisimamia serikali na ya tatu ni kuishauri serikali mi naona kazi inafanyika na...