Fuatilia Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 4 January 31, 2025
https://www.youtube.com/live/WS3Y4IN-B38?si=uJfr1uzwu_N9XPnM
Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi namba 13 wa Mwaka 2024, ambapo sasa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ambaye atajifungua mtoto njiti, imejumuisha...