bunge kutowajibika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suala la Mbunge Mpina kuthibitisha tuhuma za ukiukwaji wa uagizaji Sukari nje ya nchi, limethibitisha udhaifu wa Bunge letu

    Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa Sukari, miezi michache iliyopita. Akiongea mbele ya waandishi wa habari, alisema kuwa ana uthibitisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…