Kufuatia taarifa iliyotolewa rasmi leo (pia kuletwa humu JF) kuhusu kushindwa kufanyika kwa vikao vya bunge la Afrika mashariki (EALA) kwa sababu za ukata uliotokana na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kuleta michango yake kwa wakati, nimetafakari na kuwaza kwa kina ilo kuona tija na mantiki...
10 February 2025
Arusha, Tanzania
EALA yasitisha shughuli kwa sababu ya shida ya pesa
Na Wycliffe Nyamasege
Tarehe 9 Februari 2025 saa 03:31
Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha shughuli zake kwa nusu ya kwanza ya 2025 kutokana na tatizo kubwa la fedha.
Uamuzi huo uliofikiwa wakati...
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha
Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao ya deni hali iliyoathiri vikao vikao vya bunge vilivyokuwa...
Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024.
Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi
Chikulupi...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi.
Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 46 cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Yusuph Makamba amekula kiapo cha kuwa mjumbe rasmi wa maamuzi (ex-officio members) wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) katika hafla fupi iliyofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 19 Septemba 2023 akiwa katika ofisi ndogo...
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama Cha CUF, mhe.Mashaka Ngole ametoa msaada wa waya za umeme 2.5 bandle 2 jumla ya thamani 360000, sambamba na hilo mhe.mbunge ameahidi kuvuta na kuunganisha umeme katika shule ya sekondari Makongeni jimbo la MTAMBWE wilaya ya WETE PEMBA, Pia...
Licha ya Umoja wa Mataifa UN kukitambua Kiswahili kama Lugha rasmi ,inashangaza EAC ambako ndio nyumbani Kwa Kiswahili kupuuzwa
My Take:
Hivi Kiswahili Bado kinafaa kufundishia Watoto Wetu ikiwa Bunge la Afrika Mashariki halikotaki?
==========
Arusha. Kiswahili, recently made an official...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.