Salaam,
Kwa wenye access na ITV, Watch ITV now, Prof. Issa Shivji, anashusha mhadhara kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya.
Kwa wale ambao mtakikosa kipindi hiki leo saa hizi hapa ITV, angalieni TBC-1 kesho saa 1:30 usiku.
Please Watch.
Pasco.
NB. Vipindi hivi vitakujia kila siku saa 1:30 TBC-1...