bunge la kenya

Daan Lodewijk Samuel van Bunge (born 19 October 1982) is a Dutch former cricketer. He is a right-handed batsman and a right-arm leg break bowler.
He is the currently Director of Cricket at Haileybury in the UK. He also works as a PE teacher at a school in The Hague, Netherlands.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  2. J

    Natamani Bunge la Tanzania liwe linaangaliwa kama la Kenya, Fikiria hapa tupo Bar na tunatazama impeachment ya Gachagua mubashara 😂

    Sijajua Kwanini kona zote za hii Bar Watu wote tunafuatilia impeachment ya Gachagua mubashara Citizen TV Natamani akina Babu Tale na Kibajaj wafikie Viwango vya akina Omutata na Sakaya Ila sijui itakuwa lini maana Zitto Kabwe na Halima Mdee Viwango vilipandaga na kushuka ghafla Mlale Unono 😀
  3. Suley2019

    Yaliyojiri katika Kesi ya kumuondoa Madarakani Gachagua. Kesi kuendelea kusikilizwa kesho Oktoba 17, 2024 saa tatu asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=nEuQW0S_9D8 Kesi ya kumng'atua Naibu Rais Rigathi Gachagua inayoendelea kwa sasa mbele ya Seneti imefuatia kupitishwa kwa hoja ya kumwondoa madarakani na Wabunge 281 ambao walikubaliana na madai yaliyowasilishwa na Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse...
  4. Yoda

    Inamaanisha nini kufuatilia bunge la Kenya zaidi kuliko bunge letu tukufu?

    Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo? Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijawahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea...
  5. M

    Bunge la Kenya laitaka kampuni ya Umeme ya Kenya Power kujenga njia kuu tatu za umeme wa 1.2Mv kwa njia ya PPP kama ilivyo kwa TANESCO ya TANZANIA

    Parliament has asked the Energy Ministry and the Treasury to change tack and build some three power transmission lines under a public-private partnership (PPP) to ease pressure on the Exchequer. The three are the Loiyangalani-Marsabit, Marsabit-Isiolo and Gilgil-Thika-Konza lines, each with a...
  6. J

    Wabunge wetu waende Kenya wakajifunze namna ya kuchambua Mikataba, Adani apigwa chini na Seneti!

    Ni hilo tu kama itampendeza Spika Tulia basi awapeleke akina Babu Tale hapo Kenya wakapigwe msasa Mlale Unono 😀
Back
Top Bottom