bunge la marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Spika wa Bunge la Marekani agoma kumpa Biden Dola Bilioni 24 kama msaada kwa Ukraine. Asema Trump ndo ataamua hatma ya Zelensky

    Wakuu, Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama. Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka msaada wa Bilioni 24 nchini Ukraine. Mike Johnson ambaye anatokea kwenye chama cha Republican amesema...
  2. Ndagullachrles

    Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  3. Bulelaa

    Akihutubia Bunge la Marekani, Netanyahu alisema ni wakati sahihi wa Iran kupigwa

    Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo. Irani kuchangamkia vita kwa sasa dhidi ya Israel, ni Isarel baada ya kumuua Gaidi na kiongozi wa makundi ya...
  4. USSR

    Spika wa Bunge la Marekani: Biden hafai hata kupewa muda uliobakia

    Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
  5. U

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kulihutubia Bunge la Marekani muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Congress Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni. Mungu ibariki Israel
  6. Ikaria

    Rais William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani

    Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa : • Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
  7. Replica

    Tiktok yaligomea Bunge la Marekani, ByteDance yasisitiza haitauzwa

    Kampuni ya ByteDance ambayo ni Kampuni mama ya Mtandao wa Kijamii wa TikTok, imeshikilia msimamo wake kuwa haitauza mtandao huo licha ya tishio la kufungiwa nchini Marekani. Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitisha sheria ya kuilazimisha Bytedance, ambayo ni Kampuni ya China kuuza mtandao...
  8. Mhaya

    Bunge la Marekani lapitisha muswada wa kuifungia TikTok

    Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi yake kwa kampuni ya Marekani ili kuepuka marufuku. Mswada huo sasa umehamia kwenye Seneti, ambako...
  9. Yoda

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Baada ya mkwamo wa muda mrefu uliochangiwa na baadhi ya wabunge wa Marekani wenye mahaba na Putin hatimaye bunge la Marekani limepitisha kifurushi kipya cha $billion 60 kwa vita vya Ukraine. Msaada huu mpya kwa Ukraine unajiri baada ya mwaka mmoja na nusu tangu bunge lililokuwa likiongozwa na...
  10. BARD AI

    Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China. Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
  11. Ritz

    Bunge la Marekani lashindwa kupitisha Muswada wa Kutuma Bilioni 17.6 kwa Israeli

    Wanakumbi. Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel...
  12. K

    Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

    Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
  13. PakiJinja

    Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

    Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio. Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
  14. Ndengaso

    Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy ang'olewa madarakani

    Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge. Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na...
  15. Yoda

    Bunge lingefanya kazi za kibunge kwa kamati, jifunzeni kwa Bunge la Marekani

    Huo mfumo tunaotumia sasa wa bunge zima na wabunge wote kujadili kila masuala hautupi tija na pia unaligharimu taifa bila umuhimu wote. Kama huu ndio mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madola basi hauna tija kwetu inabidi tuachane nao tu. Ilipaswa kuwe na kamati za kisekta za bunge kujadili na...
  16. BARD AI

    Spika wa Bunge la Marekani akataa mwaliko wa Zelensky kutembelea Ukraine

    SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti. Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
Back
Top Bottom