bunge la serbia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wapinzani wafyatua mabomu ya machozi bungeni nchini Serbia

    Wabunge watatu wamejeruhiwa Jumanne, mmoja wao akiwa katika hali mbaya, baada ya vurugu kuzuka bungeni Serbia huku fataki na mabomu ya moshi yakirushwa. Mvutano ulianza wakati wa kikao cha kupiga kura kuhusu ufadhili wa elimu ya juu, ambapo upinzani ulidai kikao hicho si halali kabla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…