Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ.
Kabla ya hatua hiyo, Rais wa Uganda, Museveni alipuuzia maoni na matakwa ya baadhi ya Nchi za Magharibi...
Mbali na kuharamisha mapenzi ya jinsia moja, Muswada huo unapiga marufuku kueneza na kuunga mkono vitendo vya Ushoga na Ushoga uliokithiri.
Ushoga uliokithiri unahusisha mapenzi ya jinsia moja na watu walio chini ya umri wa miaka 18, watu wenye Ulemavu, Wahalifu wa Mara kwa mara au wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.