bunge

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atoa maelekezo kwa TANROADS kukarabati mifereji, Novemba 7, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 7, leo Novemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/1XyCg-1VaDw?si=ZauwTRbVZHBthDGw NAIBU WAZIRI: CHANGAMOTO YA MTANDAO WA VODACOM IMEATHIRI WATU MILIONI 1.8 BUNGENIWizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi...
  2. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) yakagua ujenzi wa Makazi ya Askari Zimamoto - Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bunge baada ya kuchokwa kwa muda mrefu wamekuja na kiki ya ku-trend

    Bunge lililokosa uungwaji mkono na wananchi walio wengi kwa muda sasa wananchi wamelipotezea na kulisusa. Ktk mitaa mingi mikoa na wilaya watu hawamjui hata Waziri wa Kilimo ni nani wala waziri wa Maji. Imefika mahali watu wanahamia kwenye hoja na mojadala ya mitandaoni kama Facebook...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naona Bunge linapiga chafya

    Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo! Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya! Chafya ni dalili ya uhai. Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge limepitisha tozo kwa wote badala ya bima kwa wote

    Bima kwa watu wote sio mchezo mchezo kama huu. Watu wetu wanaugua sana kutokana na mbu wengi, funza wengi, ajali nyingi, takataka nyingi mitaani na majumbani, ukosefu wa chakula, ukosefu wa maji safi, matuzi ya Kuni, nyumba duni na bidhaa zisizo na ubora. Huwezi kuwekea mtu bima ambae unajua...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali imekamilisha uandaaji na uidhinishaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaketi kwenye Mkutano wa 13, Kikao cha 4, leo Novemba 3, 2023 ambapo mambo kadhaa yatajadiliwa. Karibu kufuatilia kikao hiki. https://www.youtube.com/live/UZMpzMvlg2k?si=E92_VLUo4Q-0U9o0 Serikali imekamilisha uandaaji na uidhinishaji wa Sera ya...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la Nigeria lakataa kuidhinisha Bajeti ya Tsh. Bilioni 6 kununua 'Boti' ya Rais

    Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi. Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kamati kuhusu ripoti za CAG kwa hesabu zilizokaguliwa za serikali kuu na mashirika ya umma kwa mwaka 2022

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 3, leo Novemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/Px2Csdrfk20?si=ydhC7gCMmMBrjxso === TAARIFA YA KAMATI KUHUSU RIPOTI ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA...
  13. JamiiForums Tanzania Live Bunge TV: Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo

    Wanabodi Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana mkubwa mmoja. Spika ametangaza Waziri Mkuu hatapokea maswali, atatangaza jambo mahsusi Waziri Mkuu...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  15. JamiiForums Tanzania Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  16. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia aahirisha Bunge kutokana na hililafu kwenye vipaza sauti

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano wa 13, Kikao cha 1, leo Oktoba 31, 2023. https://www.youtube.com/live/7O0-sN3pzjA?si=eZJVi9sURaCGwvtK Mbunge mpya wa Mbarali, Bahati Ndingo ameapa leo baada ya kushinda nafasi hiyo kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Septemba 19, 2023. Uchaguzi mdogo wa ubunge...
  17. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Bunge wachunguze tukio la wanajeshi kupiga raia Kawe. Madhara yapo

    Kupitia upashanaji habari wa sisi wananchi, tumegundua kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu uliofanywa na JWTZ Kambi ya Lugalo dhidi ya raia. Siyo siri, tukio la kuuawa kwa Luteni Kanali limeacha pigo kubwa kwa familia yake, wanajeshi wenzake na serikali kupoteza asset yake muhimu. Ukweli...
  18. JamiiForums Tanzania China yaipa Zimbabwe zawadi ya Majengo ya Bunge

    Taarifa ya Serikali imesema Jengo la Ghorofa 6 lina Ofisi wakati lenye Ghorofa 4 lina Ukumbi wa Vikao vya Bunge na Seneti. Thamani ya majengo yote ni Tsh. Bilioni 250 ambayo yamejengwa kwenye eneo la Mita za Mraba 33,000. Katika miongo miwili iliyopita, Zimbabwe imekuwa ikiegemea katika Misaada...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Huu Ushindi wa Dr Tulia Ackson umekosa mvuto baada ya kuona Somalia, Malawi na Senegal ndio washindani wake. Je IPU ni bunge la Kusini mwa Sahara?

    Ama kweli wazungu wana dharau sana. Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia. Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea. Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia Bunge la Jamhuri ya Zambia, leo Oktoba 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Bunge la Jamhuri ya Zambia leo tarehe 25 Oktoba, 2023. Bunge la Zambia limesitisha kwa muda shughuli zake ili kumpokea Rais Samia ambaye atahutubia Bunge hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…