bungeni

Bungeni is a large sprawling rural settlement situated on top of one of the foothills of the Soutpansberg mountain in Louis Trichardt, Limpopo Province, South Africa. The Levubu agricultural plantation, where avocado, bananas, litch, Macadamia nuts, peaches and mangoes are grown in abundance is just 3km away north of Bungeni village. It lies 35 km east of Makhado, with the R578 road (South Africa) passing through it. With more than 30 000 people, Bungeni is the largest Tsonga village in Makhado local municipality. In 1994 and in 2016, administrative control of this western portion of Gazankulu has been sub-divided in half and allocated to two Municipalities, first in 1994 to Makhado Local Municipality and in 2016, to the New Malamulele Municipality in the Vhembe district. As of April 2016, the Western portion, known as 'Bungeni West' by the locals, has remained in Makhado local municipality, while the eastern portion, known as 'Bungeni east', has been allocated to the new Malamulele Municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Siku CCM Ikiwa Mpinzani: Sehemu ya Pili

    Siku zilisonga mbele, lakini bado taifa lilikuwa katika msisimko. Mijadala ilikuwa moto, kutoka vijiweni hadi bungeni. CCM sasa walikuwa wakifanya kile ambacho walikuwa wakiwahi kibeza—kupinga sera za serikali kwa nguvu zote. Katika ukumbi wa Bunge, Mbunge mmoja wa CCM mpya, ambaye zamani...
  2. Pre GE2025 Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!

    "Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4" Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
  3. T

    Pre GE2025 Bulaya: Sikughushi nyaraka za kuingia bungeni na nilifuata taratibu zote ndani ya chama

    Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  4. B

    MBUNGE SAMIZI ASIMAMA TENA BUNGENI KUPAMBANA KUHUSU MAJI JIMBONI MUHAMBWE

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuuliza Serikali kupeleka maji kwenye taasisi za shule na vituo vya afya na uanzishaji wa miradi ya maji. Fungua video hii kuona kila kitu alichouliza Mhe. Mbunge Samizi na majibu ya...
  5. B

    Mbunge Samizi asimama bungeni kupigania ujenzi skimu ya nyendara, serikali yatoa majibu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi Ijumaa Februari 07, 2025 amesimama Bungeni kuiulizia Serikali kuhusu ukamilishaji wa Skimu ya Nyendara. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde amemjibu Mhe. Mbunge Samizi kwa niaba ya wananchi wa Muhambwe kwamba Serikali iko...
  6. Uongozi wa Simba SC mnaweza kutuambia Ziara yenu majuzi Bungeni ilikuwa ya nini mkijua bado tuko Vitani?

    Mmeniangusha mno kwani mlifanya kitu cha Kipuuzi mno ambacho Kimetugharimu (Kuingiza Simba SC Siasani) wakati ni Timu ya Mpira na tuko katika Vita Kubwa ya Ubaya Ubwela.
  7. Pre GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Amuomba Lissu kuhakikisha Conchesta Rwamlaza anarudi Bungeni tena

    Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa angetamani kumwona Bungeni kwa mara nyingine tena
  8. Timu iko Mashindanoni mnaipeleka Bungeni Kutalii na kuichanganya na Siasa za Kikampeni kwanini isolate Matokeo ya Leo?

    Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha. Mpo Vitani huku mkijua anayewakimbizeni ana Nguvu ya Ziada kutoka kwa Mmiliki wa Chama chenye Rangi zinazofanana nao na...
  9. Wakati wenzao wanajiandaa na mchezo wao wakajiona tayari mabingwa wakaenda kuzurura bungeni dodoma

    Weka neno moja kisha pita kimyakimya 😀
  10. Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

    Hata kama mtafumba macho na kuweka pamba masikioni , Ukweli utabaki palepale .
  11. Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  12. Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

    Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza? Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
  13. Kumbukizi: Mawe ya Heche Bungeni, nimemiss Bunge hili, Sijui kama kuna siku litarejea

    Salaam, Kuna wakati katika maisha yetu Tanzania Bunge lilikuwa linasikilizika, hoja, zilikuwa zinatengenezwa. Bongo zetu zilikuwa zinapata madini na kufahamu mambo mengi. Kwa hali za Chaguzi za sasa na namna Wapinzania wanavyogombana wenyewe kwa wenyewe, sijajua kama hali hii itakuja kutokea...
  14. G

    Kwa kuwa Lissu ameamua kufunguka, naomba aulizwe:- je, ni kweli Wabunge 19 waliosheheni wake wa vigogo wa CHADEMA walijipeleka bungeni?

    Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:- 1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara. 2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar). 3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema. Bila shaka kama Mnyika...
  15. Wabunge wa sasa waliodumu bungeni muda mrefu, miaka 20 na kuendelea

    William Lukuvi- Miaka 30 Job Ndugai-Miaka 25 Mussa Zungu-Miaka 20 Ahmed Shabiby-Miaka 20 George Mkuchika-Miaka 20 George Simbachawene-Miaka 20 Luhaga Mpina-Miaka 20 Maida Hamad Abdallah-Miaka 20 Halima Mdee-Miaka 20 Vita Kawawa-Miaka 20 Pindi Chana-Miaka 20
  16. Chadema mnamachaguo mawili: Unite or Die

    Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi? Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M active countrywide, chama ambacho hakina hata 1/3 ya wabunge wa bunge zima…::ila tulikua tayari awe Rais...
  17. Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ni nani?

    Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa! 1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? 2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani? 3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
  18. S

    Lini CCM watatambua kuwa na upinzani imara nchini, Bungeni na katika serikali za mitaa, ndio chachu itakayoleta kasi ya maendeleo ya Tanzania?

    Kuna kufikiri ambako nakuona hakupo sawa ndani ya CCM, kuanzia raisi Samia kama mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Spika wa Bunge, mawaziri, wakuu wa mikoa nk, yaani uongozi wote wa nchi ulio chini ya chama tawala cha CCM. Hivi ni lini watarudiwa na akili na kutambua kwamba kuwa na upinzani...
  19. Mwigulu amjibu Mpina Bungeni kuhusu DP World kukusanya Kodi Bandarini, Mpina afuta kauli

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amemjibu Mbunge wa Kisesa Luhaga, Joelson Mpina kuhusu hoja ya DP World kukusanya kodi akieleza kuwa amelidanganya Bunge, jambo lililosababaisha Mbunge huyo kuomba radhi na kufuta kauli. Dkt.Nchemba amesema hakuna taasisi au kampuni...
  20. Pre GE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…