bunifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Katika malighafi zote za bunifu na sanaa mbalimbali, malighafi zitokanazo na miti zinaongoza kwa mbali

    Huu utafiti umetokana na mada za ubunifu nilizopost mwezi uliopita kwenye majukwaa mbalimbali Malighafi zitokanazo na miti na mazao yake zimejitokeza karibia kila mahali Hapa Nita post bunifu mpya Kali na nzuri zitokanazo na hiyo miti na bidhaa zake
  2. Roving Journalist

    Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  3. Companero

    Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024-2025

    Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na mwaka 2024 waandishi mbalimbali walishinda Tuzo. Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi...
  4. F

    Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

    Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
  5. V

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kutenga maeneo ya majaribio ya kisayansi na bunifu kwa vijana

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
  6. M

    SoC04 Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo

    Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nafasi kubwa ya maendeleo. Ili kufikia maendeleo endelevu na kujenga jamii yenye ustawi, ni muhimu kuanzisha miradi bunifu itakayowezesha...
  7. B

    SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  8. A

    SoC04 Fikra bunifu kuboresha Sekta ya Afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25: 1. Upungufu wa watumishi wa Afya Changamoto: Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu Mikakati ya...
  9. E

    SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  10. Mohamed Said

    Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  11. Mabula marko

    SoC04 Silikoni Bongo Mkombozi wa Bunifu Tanzania, ili kuchochewa ongezeko la ajira katika nchi yetu

    SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU Utangulizi Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
  12. A

    DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  13. Msanii

    Serikali inashindwa nini kutunga sheria ya mamlaka ya kuendeleza tafiti na bunifu za Teknolojia

    Siyo siri, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ujimba tunaoukumbatia. Tunajua kwamba serikali inajenga hofu kubwa sana kwenye suala la mawasiliano kwa sababu mpaka leo inajiweka mbali kwenye maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano. Dunia inakimbia kwa kasi mno, na sasa akili bandia...
  14. Blender

    Vijana wanasajili Bunifu Nchi Jirani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye @Nnauye_Nape amesema baadhi ya Vijana Wabunifu wa TEHAMA imewabidi wakasajili ubunifu wao katika Nchi za jirani sababu ya kutokuwepo kwa Sera ya Kampuni changa za TEHAMA (Startups) nchini. “Kwa muda kidogo Sekta hii imekuwa...
  15. T

    SoC03 Mfumo tiba ukosefu wa ajira nchini

    Ajira ni kazi au shughuli ambayo mtu anafanya kila siku na kujipatia kipato kwa ajili ya kujikimu na kufanya maendeleo binafsi na nchi kwa ujumla. Mazingira wezeshi ya upatikanaji wa elimu (elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari), elimu ya kati vyuo vya kati na elimu ya juu (serikali...
  16. Nyendo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya TEHAMA: Natoa rai kwa ambao wana ubunifu unaohusika na TEHAMA watuone

    Vijana wana uwezo mkubwa sana wa kubuni, nawasifu sana na wanajituma, kazi yetu kubwa ni kuhakikisha kwamba kwanza tunazitambua hizo bunifu zao" "Natoa rai kwa ambao wana bunifu ambazo zinahusika na TEHAMA watuone, ili tuweze kuwapa ushauri zaidi, watu ambao wana mitaji na wapo tayari kusaidia...
Back
Top Bottom