burieruri boys

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Meru: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Burieruri Boys wamegoma na kutoka nje ya shule

    Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Burieruri Boys katika Kaunti ya Meru wamegoma na kutoka nje ya shule muda mfupi uliopita. Wanaonekana wakikimbia kuelekea mji wa Maua. Sababu ya tukio/hali ya ghasia bado haijajulikana. --- Students of Burieruri Boys Secondary School in Meru County have...
Back
Top Bottom