Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Burieruri Boys katika Kaunti ya Meru wamegoma na kutoka nje ya shule muda mfupi uliopita. Wanaonekana wakikimbia kuelekea mji wa Maua.
Sababu ya tukio/hali ya ghasia bado haijajulikana.
---
Students of Burieruri Boys Secondary School in Meru County have...