burj khalifa

  1. MINING GEOLOGY IT

    Teknolojia za Kisasa Zilizotumiwa Kujenga Burj Khalifa ndani ya Mzunguko wa Siku Tatu

    Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi, burudani, maduka, na vituo vya starehe. The Burj Khalifa Tower ilifunguliwa kwa umma mnamo Januari...
  2. Nyendo

    KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  3. FRANCIS DA DON

    Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  4. H

    Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  5. B

    Vivutio vya Tanzania kuwekwa kwenye jengo la Burj Khalifa ina maana gani kwa Taifa?

    Na Bwanku M Bwanku. Dubai pale Falme za Kiarabu (UAE) kwa sasa ni moja ya maeneo maarufu yanayotembelewa na watu wengi sana kila siku na kila mwaka. Kwasasa Dubai kunasifika ulimwenguni kote kwa Utalii wa hoteli, kupumzika, mikutano mikubwa ya Kimataifa, maonyesho na mikutano mikubwa ya...
  6. M

    Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  7. Bila bila

    Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

    Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa. Fedha hii kwa nchi...
  8. B

    Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania

    Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa. Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais...
Back
Top Bottom