burna boy

  1. C

    Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
  2. Collateral demage Burna boy

  3. Tofauti ya Mr flavor na Burna boy ni ipi au ni mtu mmoja?

    Huyu Burna boy ninani? Au ndio huyo huyo Mr flavor? Mbona wanafanana?
  4. H

    Nilikuwa namchulia poa Sana Burna boy

    Binafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1 ilinijidhihilishe jamaa kweli anajua? Nikaanza na wimbo " Way too big" bonge moja ya track na nyingine nyingi...
  5. Kwa wapenzi wa Burna Boy na wimbo wa Jerusalema

    Angalia remix ya huu wimbo Jerusalema alioshirikishwa Burna Boy, naona kama ameupa huu wimbo ladha nyingine nzuri, enjoy!
  6. Albamu mpya ya Burna Boy ni moto mkali sana

    Saa hizi niko mtandaoni nasikiliza Album ya Burna Boy ya "Twice As Tall" na nimefurahishwa nayo kupita kiasi.Niseme tu, nadhani huyu jamaa ana kipaji kikubwa na kila siku anazidi kukomaa tu. Humu ndani wametokea wasanii wakubwa duniani kama Youssou N'Dour, Christ Martin (Vocalist wa Cold-Play)...
  7. H

    Wimbo wa Burna Boy ''On the Low" wafika mauzo ya kiwango cha Gold nchini Ufaransa

    Msanii wa Kimataifa kutoka Nigeria Burna Boy wimbo wake wa "On the Low" wafikisha mauzo ya kiwango cha Gold, yaani umenunuliwa na watu 500000 nchini Ufaransa. Msanii huyo mwaka huu na mwaka jana ameweza kupata mafanikio makubwa kuliko msanii yoyote wa Nigeria. Big up to him. Nini umejifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…