Ibada ya kumuaga marehemu Mzee Burudi Nabwera katika Kanisa la Friends Church, Lang’ata, Nairobi, Jumatano, Oktoba 21, imeibua mjadala wa kisiasa baada ya Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula kuondoka kanisani pindi tu Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna...