busara na hekima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  2. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Rais Samia akiitumia Busara na Hekima ya Kimbingu akaachana na ubinadamu, atakubaliana namm kua "Umakamo/Urais wake ulichaguliwa Kwa mpito tu!!

    Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?. Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k. Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake...
  3. R

    Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  4. T

    Busara na Hekima ya Easther Bulaya kwa wanaohama Vyama

    Easther Bulaya Nimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa Lijualikali na pia kwa Msigwa, ana hoja na ukomavu wa siasa. Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima kukitukana au kukashifu chama chako cha siasa cha awali. Huyu mama yuko vizuri kichwani ni hazina...
  5. D

    Makonda hafai kuwa kiongozi kabisa. Uongozi unahitaji busara na hekima kama Rais Samia alivyo

    Hii nchi Samia asingeinusuru baada ya torture tulizozipitia surely akina tundu lisu na lema au mbowe wangekuwa bado wako ughaibuni kuogopa kuuawa. Hii nchi mama kaitoa mbali sana tulikuwa tunaishi kama vile tuko motoni. Ukiamka hijui kama leo ni zami yako kutekwa au la. Hata information muhimu...
  6. P

    SoC04 Hekima na Maamuzi: Mawazo yangu bunifu kwa ajili ya mabadiliko na maendeleo ya Tanzania

    Ninaweza kutoa baadhi ya mawazo yangu bunifu kwa ajili ya mabadiliko na maendeleo ya Tanzania: 1. Kuwekeza katika elimu ya ubunifu na teknolojia: Kuanzisha programu za elimu zinazowawezesha vijana kujifunza ujuzi wa kiteknolojia na ubunifu ili waweze kushiriki katika ujenzi wa uchumi wa...
  7. R

    Kwa namna Madeleka anavyomtukana Dr. Makakala mitandaoni, itoshe kusema Makakala ana roho ya uvumilivu. Uongozi ni Busara na hekima, hongera mama

    Mfumo wetu wa nchi kiongozi ni mfalme na yeyote atakayenyanyua mdomo atachukuliwa hatua. Mfumo wa majeshi ndiyo mbaya kabisa kwa sababu wanaamini kwamba wapo juu ya kila jambo. Dr. Makakala ni kiongozi wa taasisi ya usalama nchini anayepitia magumu kutoka kwa wale wanaotamani aondolewe kwenye...
  8. VanDon

    Busara, hekima na sheria

    Habari za muda huu waunhwana. Leo nimependa tuongee kidogo kuhusu busara na sheria Katika kila taasisi kuna uongozi na uongozi huo ni kuongoza watu wenye akili, mtazamo, uelewa na pengine malengo na imani tofauti ambavyo huenda vyote hivyo haviendani na taasisi au malengo ya taasisi. Je, nini...
  9. Komeo Lachuma

    Godbless Lema huwa anakosa Busara/Hekima. Ingawa yeye anaamini ana busara na hekima sana. Hapa alimkosea sana P. Msigwa

    Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli. Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni...
  10. MakinikiA

    Mtu mwenye busara na hekima akinena wahusika wajitafakari na kunyumbulika akili

    Salama wandugu Kwa maneno haya ya mtu mwenye busara alivyonena naomba wahusika wajitathimini na wanyumbulishe akili zao
  11. J

    Jaribu kuvaa viatu vya Jaji Siyani, ungeamuaje kesi ya Komandoo anayedai kateswa ukitumia Busara na Hekima?

    Binafsi nampongeza Jaji Siyani kwa kutanguliza uzalendo na utaifa mbele huku akiutumia mwanya wa kisheria uliojitokeza. Kesi ya Mbowe inaweza kumalizwa kwa namna nyingine yoyote bila kuathiri sifa za Ukomandoo. Wakati mwingine tunapaswa kuwa waelewa zaidi. Kesi za namna hii labda zinahitaji...
Back
Top Bottom