1.Watu wengi wanajishughulisha na kilimo wanaamka saa 10 alfajiri kwenda mashambani.Pia ng'ombe zinatumika kulima
2.Ni kawaida kukutana na wazee mababu na mabibi
3.Watu wengi wanaongea lugha za makabila
4.Wanawake/wamama wengi wanavaa khanga
5.Ukipanda daladala kwenda Town mfano ahsubuhi...
Kuna dogo anazinguliwa kuhusu mkopo nauliza hivi bush bado yupo bodi ya mikopo?
Halafu please mnaweza kunikumbusha jina halisi la Bush?
Watoto wa udsm 2006- 2010 msaada wenu please.
Kitabu hiki kinatafutwa haraka wakuu, mwenye nacho afanye kuattach hapo chini.
Combatants: A Memoir of the Bush War and the Press in Uganda.
Mwandishi William Pike
Natanguliza shukrani
Na kama ni kweli nitahitaji majibu, kwanini wamepewa eneo la beach jirani na waliko mabaka mabaka na eneo lisilo mbali kimkakati na Jumba kubwa analolala Mama na Baba yetu Hafidhi.
George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi...
Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake.
Mwaka huu tutaona mengi...
Laura Bush anasema mume wake yaani George W. Bush alikuwa mlevi sana. Ikafika kipindi akaogopa akaona hata Urais utamshinda. Lakini Laura Bush hakuwahi kuthubutu kuita press conference kusema "ninyi wamarekani mnamheshimu na kumsikiliza huyu mshenzi mlevi mkubwa? Hamumjui tu". Hakuthubutu...
Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji,
Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu.
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
Waliokuwa marais wa Marekani Barack Obama, George W. Bush na Bill Clinton wamejitolea kupewa chanjo ya ugonjwa wa corona kwa uwazi kabisa.
Watatu hao ambao wawili ni wa chama cha Democrat na mmoja wa Republican wamesema kuwa watapata chanjo hiyo punde tu itakapoidhinishwa na wadhibiti wa...
Habari wakuu.
Miezi michache iliyopita nilianzisha biashara ya vilainishi vya magari. Biashara inakuwa vizuri lakini ninaona kuna haja ya kuongeza huduma nyingine.
Ninahitaji mashine ya ku-press bush je naweza ipata wapi??? Na je naweza pata angalau bei ya soko ya mashine hiyo. Wateja wangu...
N!xau #Toma ni mzaliwa wa Namibia katika kabila la San ambao wengi ni Bushman. Alikuwa hajui miaka yake. Kabla ya kuanza kuigiza, alikuwa hajui chochote kuhusu maisha ya kisasa “ Modern Civilization “. Alikuwa ashawahi kuona wazungu wa tatu tu kabla ya kuigiza na alikuwa hajui thamani ya fedha...
Lord Lofa: Nijichane na mamisosi ili nivimbe ki roho mbaya uwanjani na watemi wao wa Bush lazima waipate.
Ndumilakuwili: Alafu wabebe mzigo wa magoli.
Lord Lofa: Usikete ujinga na mzigo wa kushangilia nani ataubeba?
Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia.
Rais George W. Bush akilianzisha
Staili hii akaja nayo kijana mtanashati, Obama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.