business consultancy services

  1. lumwetuli

    Karibuni Lumwe Tax & Consulting service

    Tangazo: Habari za leo wateja wetu wapendwa, Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila siku na wakati huo huo kukidhi mahitaji ya kodi. Hapa ndipo tunapokuja na kusaidia kufanya maisha yako...
  2. Immortal Consulting Co

    Hatua tano za ukuaji wa biashara

    Katika ulimwengu huu ambao ujasiliamali umehubiriwa sana kila mmoja anataka kuwa boss, kila mtu anawaza kuanzisha biashara yake, kuna biashara nyingi zinaanzishwa kila siku lakini kuna biashara nyingi zinakufa kila siku. Ni biashara chache sana ndio zinafikia hatua ya tano, nyingi huishia hatua...
Back
Top Bottom