Je wajua ya kwamba ndoto zaweza kuwa kweli? Wazungu wanasema dreams can come true...
Fanya yote maishani.. Pambana sana lakini usiache kumwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema zote akujaalie mwisho mwema, uzee uliojaa fanaka na baraka.. Tele.. Wanazengo wanasema fainali uzeeni.. Basi Mwombe...
Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu, nicheki namba 0653828027
Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING
sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni utaalamu wa kusanifu ndio unaoamua jengo lako liwekwe - kitaalamu huitwa LANDSCAPE DESIGN
Hapa...
Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake
Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake
Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
MADAI YA FIDIA KWA MWEKEZAJI WA MGODI NA. 2 Lubaga, Mkoa wa Simiyu.
Kwa nini hawajajitokeza kujibu, Malàlàmiko yangu ya kuhàribiwa bústàñí yàngu niliyoyatoà hivi Karibuní kwenye jukwaa hili nikiwatuhumu AFISA MADINI MKOA wa Simiyu na ÀFISA MTENDAJI wa Katà ya Dutwà kushindwa kufuata maelekezo...
Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako?
i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu.
ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
Shalom,
Tucheke kwanza
"Oalaa kalooo'
Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi
Tutaona...
Centre park ni Bustani ya mjini kati ya Upande wa Magharibi mwa Upande wa Juu na vitongoji vya Upper East Side vya Manhattan huko New York City ambayo ilikuwa mbuga ya kwanza yenye mandhari nchini Marekani.
Ni hifadhi ya sita kwa ukubwa jijini, iliyo na ekari 843 (hekta 341), na mbuga...
Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru.
Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi.
Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.
Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
HEBU TUZUNGUMZE HILI, ILE BUSTANI YA MNAZI MMOJA (Kwenye Mnara wa Uhuru)
Pale Dar es salaam hususan City Centre i.e Kariakoo, Mnazi Moja. Kwa haraka haraka hakuna sehemu mfano wa Garden ya watu walau kuweza kupumzika from mihangaiko na mizunguko ya mjini. Hakuna pia open space ambayo mtu...
Bustani Yenye Manukato ya Furaha ya Kihisia (1886)
na Muhammad al-Nafzawi , iliyotafsiriwa kwa Kingereza na Richard Francis Burton.
zinazohusiana : Ngono .
Miradi Dada.miradi dada : Makala ya Wikipedia , kategoria ya Commons , bidhaa ya Wikidata .
Bustani Yenye Manukato ( الروض العاطر في نزهة...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo, ikiwa uwajibikaji na utawala bora hauzingatiwi, sekta hii inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya...
Salaam nyote!
Kiumbe aliezingua paradiso (bustani ya Eden), kiumbe alieumbwa mwanaume akiwa usingizini, kiumbevaliumbwa sehemu ya mwili ya mwanaume, anawezaje kutetewa na kusemewa chochote?
Wanawake ni mashetani yasioshiba, hayajui yalipo, yalipotoka na yanapoendq, akienda kama kabaki, akifikq...
Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.
Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25.
Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje.
Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
Wakuu amani iwe kwenu.
Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k.
Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.