bustani

The Boustani family is a prominent dynastic Lebanese family with significant influence around the globe. Variations of the name, due to transliteration, include: Boustani as well as Boustany, Bistany, Bostany, Bustani, Besteni, and Bestene (Arabic: بستاني‎ / ALA-LC: Bustānī). The name, a nisba, derives from the Arabic word for garden (a loanword from Middle Persian “bōyestān”) and is thought to date back to at least the 15th Century.
The family has its roots in a place named El-Bassatin, in the village of Jableh, near Lattakia, Syria. In the beginning of the 16th century, and after the Ottoman conquest of the Middle East, Muqim (Abu Mahfouz) left his home town and went towards Mount-Lebanon, stopping at Dahr Safra, then Bqerqacha, a village at the foot of the Cedars of Lebanon. Muqim had three sons, Mahfouz, Abd el Aziz and Nader. Abd el Aziz resided in Deir el Kamar. Nader and his family settled in the Chouf region, principally Deir el Kamar and Debbiyé.
Muqim and his eldest son Mahfouz went back to the northern regions of the country. His descendants still bear the name Mahfouz.
Following social and political upheavals, the Boustanis settled in every single region of Lebanon – in Giyeh, Marj, Jounieh, Tripoli, in the Koura and the Beqaa – as well as in Syria (Damascus and Aleppo) Turkey and Egypt. Throughout the two last centuries, and especially in the beginning of the 20th, the great migration of the Boustanis towards Europe and the New World began.
During the two last centuries, members of the family emigrated from different Lebanese cities to numerous countries around the world. However, the Boustanis who presently live in Lebanon, as well as those of the Diaspora, constitute one sole family.
The Boustanis were a family of many talents, to which were born eminent archbishops, great statesmen, businessmen, writers and poets in Lebanon and in the Diaspora countries. Among the bishops were: Abdallah (1780–1866), Boutros (1819–1899) and Augustin (1875–1957).

View More On Wikipedia.org
  1. Shamba langu. Bustani ya ndoto zangu

    Je wajua ya kwamba ndoto zaweza kuwa kweli? Wazungu wanasema dreams can come true... Fanya yote maishani.. Pambana sana lakini usiache kumwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema zote akujaalie mwisho mwema, uzee uliojaa fanaka na baraka.. Tele.. Wanazengo wanasema fainali uzeeni.. Basi Mwombe...
  2. Bustani nzuri/landscape ideas

  3. Kijana wa kusimamia bustani ya mboga mboga anahitajika, eneo kibada, mshahara 100,000

    Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu, nicheki namba 0653828027
  4. Mandhari na Bustani Kuzunguka Nyumba Nazo Huandaliwa Ramani Kama Hivi

    Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni utaalamu wa kusanifu ndio unaoamua jengo lako liwekwe - kitaalamu huitwa LANDSCAPE DESIGN Hapa...
  5. Siku Zote Majani Huwa Ya Kijani Katika Bustani Ya Jirani

    Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
  6. Siku Zote Majani Huwa Ya Kijani Katika Bustani Ya Jirani

    Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
  7. D

    Kutokulipwa madai ya kuharibiwa bustani

    MADAI YA FIDIA KWA MWEKEZAJI WA MGODI NA. 2 Lubaga, Mkoa wa Simiyu. Kwa nini hawajajitokeza kujibu, Malàlàmiko yangu ya kuhàribiwa bústàñí yàngu niliyoyatoà hivi Karibuní kwenye jukwaa hili nikiwatuhumu AFISA MADINI MKOA wa Simiyu na ÀFISA MTENDAJI wa Katà ya Dutwà kushindwa kufuata maelekezo...
  8. Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  9. Vibe la ongezeko la Wachungaji Wanawake wanaojibatiza uchungaji. Je, Ufufuo wa Bustani ya Eden?

    Shalom, Tucheke kwanza "Oalaa kalooo' Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi Tutaona...
  10. Itazame Bustani ya central park jijini New York

    Centre park ni Bustani ya mjini kati ya Upande wa Magharibi mwa Upande wa Juu na vitongoji vya Upper East Side vya Manhattan huko New York City ambayo ilikuwa mbuga ya kwanza yenye mandhari nchini Marekani. Ni hifadhi ya sita kwa ukubwa jijini, iliyo na ekari 843 (hekta 341), na mbuga...
  11. Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

    Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru. Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
  12. Kumiliki Mashamba Ya Kukodisha Kwa Ajili Ya Kilimo Cha Mazao Ya Chakula, Mazao Ya Biashara Na Bustani

    Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi. Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
  13. S

    Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

    Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
  14. Bustani ya Mnazi Mmoja ina kazi gani?

    HEBU TUZUNGUMZE HILI, ILE BUSTANI YA MNAZI MMOJA (Kwenye Mnara wa Uhuru) Pale Dar es salaam hususan City Centre i.e Kariakoo, Mnazi Moja. Kwa haraka haraka hakuna sehemu mfano wa Garden ya watu walau kuweza kupumzika from mihangaiko na mizunguko ya mjini. Hakuna pia open space ambayo mtu...
  15. Bustani ya Manukato

    Bustani Yenye Manukato ya Furaha ya Kihisia (1886) na Muhammad al-Nafzawi , iliyotafsiriwa kwa Kingereza na Richard Francis Burton. zinazohusiana : Ngono . Miradi Dada.miradi dada : Makala ya Wikipedia , kategoria ya Commons , bidhaa ya Wikidata . Bustani Yenye Manukato ( الروض العاطر في نزهة...
  16. SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika sekta ya kilimo cha bustani

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo, ikiwa uwajibikaji na utawala bora hauzingatiwi, sekta hii inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya...
  17. Nionavyo Mimi: Wanawake ni Mashetani na Waasi toka Bustani ya Eden

    Salaam nyote! Kiumbe aliezingua paradiso (bustani ya Eden), kiumbe alieumbwa mwanaume akiwa usingizini, kiumbevaliumbwa sehemu ya mwili ya mwanaume, anawezaje kutetewa na kusemewa chochote? Wanawake ni mashetani yasioshiba, hayajui yalipo, yalipotoka na yanapoendq, akienda kama kabaki, akifikq...
  18. Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
  19. Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  20. Fursa za Mazao ya Bustani Dodoma

    Wakuu amani iwe kwenu. Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k. Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…