BUSU ni ishara moja wapo inayoonesha upendo, mahaba salamu au heshima.
Kama neno la Mungu linavyosema..
"Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina."
1 PETRO 5:14
Na watu wengi huwa tunajiskia raha na kuwa na furaha tunapopata BUSU kutoka kwa watu...