Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana...
Ukose Hela akukatae haupo bize, utafute ela akukatae uko bize
Kocha mkuu wa Manchester City ya Uingereza Pep Guardiola ameachana rasmi na mke wake Cristina Serra baada ya kudumu kwenye ndoa miaka 30. Katika talaka waliyopeana mahakamani mke huyo wa Guardiola atatwaa nusu ya utajiri wa Guardiola...
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa...
Heshima kwenu,
CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda.
Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
Ukienda club mdada anajua kucheza piano anaringa kama mwenye degree ya MD
Ukimuongelesha mashangazi nawakumbusha Kuna walikuwa wanaringa na style za VIDUKU
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.
Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
Master ulie mdanganya uyo mdada mbona penzi lenu limefifia mapema ivyo nyodo zote alizokuwa nazo mbona hana kisa nini nilivyo amua kumpuuza au?
Inasikitisha Sana mpenzi wa mtu unampigia ex wako unamwambia "moyo wangu Leo unaniuma Sana uko salama uko ulipo".
Hivi hana watu wengine wa kumufanya...
mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo
FRV. Gaspar E. Temba...
Habari! Pamoja na kazi yangu ya ulinzi, napenda kuwajulisha kuwa naweza kukusaidia kwenye mambo mengine kwa gharama nafuu. Hapa chini ni huduma zangu:
Mafunzo ya Kitaaluma: Unahitaji msaada katika masomo? Niko tayari kukuandaa au mwanafunzi wako katika masomo ya Kiingereza, Hesabu, Sayansi kwa...
Wiki nzima wako wanasikiliza hotuba mara Obama mara Oprah Michele Hilary n.k wiki nzima wako Chicago wanangoja Kamala aje kusema nimekubali kuwa mgombea wa urais nimegundua ccm wako serious kuliko Hawa democrat
Ila pia nimegundua wamarekani wachache sana wanashughulishwa na mgogoro wa Gaza...
"70% ya mzigo unaoshuka bandari ya Dar-es-Salaam kwenda nchi za jirani unatoka Tanzania kupitia Boda ya Tunduma. Ile ndio boda ambayo iko bize kuliko boda zote Afrika Mashariki hivyo hii tayari ni fursa kwa mwekezaji" - @Davidkafulila0 Mkurugenzi wa kituo cha ubia kati ya sekta ya umma na sekta...
Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono,
Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu,
Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru,
Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100.
Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
akili
busy
kabla
kilimo
kilimo tanzania
kisiasa
kucheza
kuu
lengo
mapinduzi
mapinduzi ya kilimo
mwanzo
mwisho
samia
sana
taifa
tanzania
tena
teuzi
teuzi na tenguzi
uwezo
wajinga
zaidi ya
Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa.
Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
Moja ya Amri za Mungu katika kitabu cha kutoka 20 ni kuikumbuka siku ya Sabato na kuitakasa.
Na hakuna ubishi kuwa siku ya saba ndiyo siku ya Sabato. Pia hakuna ubishi kuwa siku ya saba ya juma ni jumamosi. Labda kwa waswahili tu ambao wengi ni wavivu wa kusoma na kufikiri.
Hata hivyo...
Kampala, capital and largest city of Uganda. It occupies a series of hills at an elevation of about 3,900 feet (1,190 metres) and is situated in the southern part of the country, just north of Lake Victoria Kampala lies just north of Mengo, the capital of the kingdom of Buganda in the 19th...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.