butiama

Butiama is a town in northern Tanzania and the birthplace of Julius Nyerere, the first president of Tanzania. Butiama is administrative centre of Butiama District, and lies within the Mara Region; it is also the local residential area of the Wazanaki tribe which is believed to be the smallest tribe in the region. The Mwalimu Nyerere Museum Centre is located in the town.
Several things have been named Butiama because of its significance to Tanzanian history, including the ferry MV Butiama that operates between Mwanza and Ukerewe.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Butiama was 15,383.

View More On Wikipedia.org
  1. Lanlady

    Uchaguzi wa CWT wilaya ya Butiama utazamwe na TAKUKURU

    Kuna tetesi kuwa mchakato wa uchaguzi wa CWT katika wilaya hiyo umegubikwa na visa vingi vinavyokiuka taratibu za uchaguzi. Mojawapo ya visa hivyo ni pamoja na usambaji wa fomu kwa wagombea ngazi ya matawi unaoambatana na kupewa kiasi fulani cha pesa. Tunaiomba TAKUKURU imulike uchaguzi huo...
  2. Yongpalmuel

    Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
  3. Yongpalmuel

    Mtu anayeenda kufanya kazi wilaya ya butiama.

    Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo. Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ? Gharama pia za maisha huko butiama zipoje ? Kama nyumba na vyakula. Pia wanajidhughurisha na kilimo...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  5. Ojuolegbha

    Mradi wa maji wa mugango wafika Butiama

    Machozi ya furaha yanawatoka wana Butiama baada ya kuletewa mradi wa maji wa Mugango-Butiama, sasa hivi wamesahau kutumia punda kwenda umbali mrefu kutafuta maji. Rais Samia amekuwa mkombozi wao.
  6. No SQL

    Butiama komesheni hii mila ya tohara kwa wanaume kwa kutumia kisu tena mbele ya kadamnasi

    Jana nilkuwa misele katika kijiji kimoja huko Butiama na kukuta maandalizi ya sherehe Jumamosi hii, nikajaribu kuuliza nipate undani wa sherehe hizo, nikaambiwa ni vijana wanaenda kukatwa 'mkono wa sweta' mnadani, duh! unakatwa govi mbele ya kadamnasi? Huu ni ukatili wa kijinsia na pia si...
  7. L

    Kwa anayepafahamu Buhemba Butiama

    Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
  8. Nyaka-One

    Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    Mwalimu Nyerere alimchagua Jenerali Musuguri kuwa CDF wakitokea wote Butiama

    Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama. Miaka 37 baadae, John Pombe Magufuli alimchagua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi wote wakisemekana ni Wasukuma...
  10. Vodacom Tanzania

    Twende Butiama: Vodacom inakusogezea huduma za afya bure mkoani mwako. Karibu uhudumiwe kuelekea siku ya kumuenzi Mwalimu Nyerere

    Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya ‘Twende Butiama’ tunaendelea na msafara wa waendesha Baiskeli kuanzia Septemba 28 na tutafika kikomo Oktoba 14 huko Butiama. Lengo ni...
  11. Poppy Hatonn

    Jumamosi ya kesho asubuhi safari ya baiskeli ya Dar kwenda Butiama itaanza

    Hii ni kumbukizi ya Mwalimu Nyerere,safari ya kila mwaka. Itaanzia hapa Msasani Residence saa tatu asubuhi. Sometimes anaalikwa kiongozi wa Serikali to flag them off. Last time waliagwa na DC Gondwe. Wanaokwenda na baiskeli,huwa wanapita hii njia ya Bunju kuelekea Msata halafu kula mbele...
  12. A

    DOKEZO Hospitali Mpya ya Wilaya ya Butiama ni zaidi ya Miaka Mitano, haijaisha, Watumishi Halmashauri, wanashindana kula PESA

    Mama Samia , Katika halmashauri iliyojaa wizi ni hii, bahati mbaya sana janja janja hutengenezwa na kupewa Hati safi. Nendeni mjionee ni nyumbani Kwa Mwl Nyerere lakini majizi hayana Aibu . Toka Mzee Magufuli alipoanzisha Ujenzi wa Hospitali hizi za Wilaya Tanzania nzima , Katika Wilaya...
  13. Lanlady

    CHAKUHAWATA chaendelea kusajili idadi kubwa ya wanachama

    Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT. Wilayani Butiama mkoani Mara kumekuwa na kasi kubwa ya uhitaji na ujazaji wa fomu za kujitoa kwenye chama chao cha...
  14. Shooter Again

    Nyerere alikuwa ni mlevi wa madaraka

    Yaani katika watu ninaowachukia Tanzania hii ni Nyerere, ndiye aliingia madarakani na akakaa miaka 25 mwisho wa siku akawarithisha watanzania ujinga na umasikini yaani huyu mzee Mimi natamani nichape maiti take viboko mia sababu alikuwa ni mlevi wa madaraka ila nashangaa kuna mijitu inamuita...
  15. Poppy Hatonn

    Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

    Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani. Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar. Hii...
  16. Poppy Hatonn

    Filipe Nyusi, Rais wa Msumbiji atafika Butiama leo

    Rais wa Msumbiji atafika kijijini Butiama leo. Ataongozana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Emmanuel Nchimbi. Mheshimiwa Rais ataongea na wanakijiji katika mkutano wa hadhara.
  17. Poppy Hatonn

    CCM inakwenda Butiama leo.

    Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who. Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.
  18. Poppy Hatonn

    Mkuu wa mkoa wa Mara naye asikiliza kero za wananchi kijijini Butiama

    Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............." Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya...
  19. Poppy Hatonn

    Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

    Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza. Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine. Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu. I wish a Happy...
  20. JanguKamaJangu

    Sagini asimikwa Uchifu Butiama apewa jina la Mshora

    Wazee wa Mila Wilayani Butiama Mkoani Mara wameiomba Serikali iweze kuwachukulia hatua Wanasiasa ambao wamekuwa wakileta ukabila, ukanda na udini kwenye mambo ya maendeleo hali inayoweza kuleta machafuko baina yao. Wameeleza hayo wakati wakimsimika uchifu Jumanne Sagini ambaye ni Mbunge wa...
Back
Top Bottom