butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  2. J

    Press conference za mzee Butiku na Dr. Nchimbi, nani ana busara?

    Kati ya mzee JOSEPH BUTIKU na Dr. EMMANUEL NCHIMBI nani ana busara? (Hatima ya mkoa mkoa wa RUVUMA na viongozi wake Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa mbunge wa Jimbo la Songea mjini 2010-2015. Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati DAUDI MWANGOSI...
  3. J

    Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama...
  4. Tumuombee sana Mzee Butiku wa taasisi ya Mwalimu Nyerere

    Juzi kaitisha press conference kuelezea hali ya usalama inavyoendelea nchini baada ya mauaji ya Mzee MeD kiongozi wa CHADEMA. Mimi kwangu kule nakuita kujilipua na uthubutu wa aina yake katikati ya mazingira tuliyo nayo sasa... Maana kusema KWELI na kwa UWAZI kwasasa ni kujitafutia majanga...
  5. K

    Mamlaka ya juu uufanyie kazi ushauri wa Mzee Butiku

    Leo tarehe 10.9.2024 Mzee Butiku amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu sintofahamu zinazoendelea hapa nchini. Kwanza nikupongeze sana Mzee Butiku kwa busara, hekima zako kwa kuishauri Mamlaka kwa yanayoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu. Mzee ameshauri kwa Mamlaka ya juu ya nchi kuwa wale...
  6. Mzee Butiku ashangazwa na IGP Wambura kutojiuzulu

    Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini. Soma pia: => Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na...
  7. Hongera Benjamin Mkapa Foundation, mmeimarisha sekta ya afya nchi nzima, Nyerere Foundation Mzee Butiku yeye ni vijembe tu na chuki

    Nadhani Nyerere Foundation ina cha kujifunza kwa Benjamin Mkapa Foundation. Nyerere Foundation ilitarajiwa iwe ndio kioo cha Foundation za viongozi kwa kutatua matatizo na ku-shape sera za nchi. Badala yake, Mwalimu Nyerere Foundation imekufa, walioiua, ili waonyeshe bado inapiga chafya...
  8. Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

    Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana! Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu...
  9. Pre GE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa. Butiku...
  10. Mzee Butiku umekumbwa na nini hadi leo hii umsifie hivi marehemu Lowassa ambaye ulitokea kumchukia sana mwaka 2015?

    "Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu...
  11. Mzee Butiku kwa upenda haki unaojaribu kuonyesha huyu mzee anaweza kuteseka hivi ukiwepo?

    https://www.youtube.com/watch?v=6oSnH_by-7U
  12. Sugu akutana na Mzee Joseph Butiku, atoa ofa kwa Taasisi ya Mwl Nyerere

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , amekurana na kuchota busara kutoka kwa Mwenyekiti wa Mwl Nyerere Foundation , Joseph Butiku , ambaye alifunga Safari kumtembelea Sugu Jijini Mbeya Watu hao wazito wamezungumza mambo mengi...
  13. Mzee Butiku: Ukipigania haki unaingia kwenye misukosuko

    Mzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na kwamba wapo wanaozitaka na wasiozitaka, ni tabia ya binadamu apate yeye, ukose wewe. Ameongeza kuwa...
  14. S

    Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

    Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari. Pia soma...
  15. Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  16. Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku atoa ushauri wake sakata la Uwekezaji Bandari " Watanzania hawajaridhika na jambo hili,tulisahihishe ama tuliache kabisa" ---- Natoa shukrani kwa Rais wetu Dkt. Suluhu Samia kwa mambo mawili, kwanza kwa kuruhusu Watanzania...
  17. Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?

    "Hili jambo la bandari limeshakwenda serikalini na bungeni, raia tukaulizwa maswali kidogo na tukajibu. Baada ya hapo jambo hili la bandari lilirudi bungeni na kupitishwa na Bunge. Kwa mujibu wa utaratibu wa kikatiba, limeshapitishwa na hivyo ni la kutekeleza. Hivyo sasa wanaposema tuzungumze...
  18. Mzee Butiku ana lipi la kushauri kuhusu Uchumi?

    Hili halisemwi sana ila ndo ukweli wenyewe! Moja ya sababu zilizofanya Mwl. Nyerere aamue kung' atuka mwaka 1985 ni kutokana na kufeli kwa Sera zake za kiuchumi hasa za kijamaa. Ilifika kipindi watanzania walianza kuvaa nguo zenye viraka na hata ununuzi wa bidhaa madukani ulifanyika kwa...
  19. S

    Mzee Butiku: Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao

    Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu.. 1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au 2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili. Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
  20. S

    Mzee Malecela, Mzee Warioba, Dk. Salim, Mzee Msuya, Mzee Butiku mko wapi majadala wa kitaifa kuhusu Bandari?

    NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala unaohusu kuuzwa kwa bandari? Tunawaomba na ninyi kama wazee wetu mtoe neno kuhusu mkataba huu. Mzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…