bwana afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. itakiamo

    Ombi Kwa Bwana Afya mkoa wa Dar Es Salaam

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama. Asante .
  2. Hakuna anayejali

    Hivi ninyi kinabibi afya na bwana afya hii ni kawaida?

    Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu. Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi. Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati...
  3. R

    Hali ya usafi kwenye saluni unayoenda kusuka au kunyoa ikoje?

    Wakuu, Naamini wote tunaenda saluni, iwe kusuka au kunyoa, na huduma hii sio kwa watu watu wazima pekee hata watoto pia huenda saluni kutengenezwa nywele, sasa swali ni kwamba hali ya usafi ikoje kwenye saluni unayoenda kupata huduma? Wanaume, mataulo yanayohudumia wateja yanasafishwa baada ya...
Back
Top Bottom