bwanga

Raymond Bwanga Tshimen (born 4 January 1949 in Élisabethville, Belgian Congo) is a former footballer from the Democratic Republic of the Congo. Bwanga won the 1973 African Footballer of the Year while with TP Mazembe in Lubumbashi. During his playing days in the early and mid 1970s he was nicknamed "Black Beckenbauer" by the African and French press due to his playing style.Bwanga was voted the IFFHS Player of the Century for the Democratic Republic of the Congo in 2000. In 2006, he was selected by CAF as one of the best 200 African football players of the last 50 years.He is the cousin of fellow footballer Kazadi Mwamba.

View More On Wikipedia.org
  1. Katibu Mwenezi CCM Paul Makonda aagiza Taa barabarani Zifungwe Bwanga na amezuia kamatakamata ya wauza mikaa

    📌📌CCM YATOA MAAGIZO MATANO GEITA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinatoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo ni; 1 Malalamiko ya Wafanyabiashara wa Mkaa Chama Cha Mapinduzi kimemtaka Mkuu wa...
  2. Rais Samia akiwa safarini kuelekea Mkoani Kagera, asimama njiani kuzungumza na Wananchi leo Juni 8, 2022

    ======= Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
  3. K

    Mchawi kutoka Congo adondoka Bwanga Chato

    Hii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari...
  4. Mafundi nguo acheni ujinga huu...

    Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu! Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa. Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma! Nahisi sinaga bahati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…