Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 335.8 hadi kukamilika kwake.
Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kidunda, Wilayani...