bwawa la mwalimu nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Wazo: Badala ya kuuza nje umeme wa ziada, kwanini tusiwape bure wenye viwanda?

    Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem. Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones...
  2. Wakusoma 12

    Faida za bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere ni zipi ikiwa Bado wananchi tunauziwa unit kwa bei ileile?

    Kuna mambo yanafikirisha sana asee, gharama za umeme Bado zilezile, badhaa Bado na bei ileile, uchumi wetu raia Bado uleule!. Ni kwanini tulijenga hili bwawa ili tuwashie taa? Viwanda havijengwi kama tulivyoaminishwa shida nini wajomba?
Back
Top Bottom