Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones...