bwawa la nyerere kujaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), 22/12/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji kwenye bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) leo Desemba 22, 2022 Maharage Chande, Mkurugenzi wa TANESCO Maji yanayopita katika mashine moja ya kufua umeme ni lita 225,000 kwa sekunde, wakati kwa...
  2. Maji yatakayojazwa Bwawa la Nyerere (JNHPP) yanaweza kuzalisha Umeme kwa mwaka mmoja bila kutegemea mvua

    Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
  3. M

    Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Waziri Makamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…