Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa...
bwawalanyererekukamilikabwawanyererekukamilika
mgao pesa za escrow
rais samia
rushwa afrika
tanzania kununua umeme
tanzania kuuza umeme
umeme
upigaji mali za umma
NISHATI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo amesema Utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), umefikia 95.83% na utakamilika Juni 2024 huku Tsh. Trilioni 5.85 (89.24%) zikiwa zimelipwa kwa Mkandarasi.
Amesema...