bwawa la umeme rufiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suzy Elias

    Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

    Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa! Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee. Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂. Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo...
  2. Ngaliwe

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema Serikali itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya mradi wa umeme wa mto Rufiji

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa umeme wa maji ya Mto Rufiji (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua...
  3. FRANCIS DA DON

    Mbunge Sospeter Muhongo ameniogopesha kwa kauli yake kuhusu ujenzi wa bwawa la Rufiji; je, kuna haja ya wabunge wote kupimwa akili?

    Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani mwa wabunge wetu, nimeogopa sana. Na hii imekuja baada ya ile kauli ya hayati Rais John Joseph...
  4. mkiluvya

    Mradi wa Kufua Umeme Rufiji (MW 2115) uchimbaji kina cha lango la kuingilia maji kwenye mitambo wakamilika

    Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022. Mhandisi Dismas Mbote, Mhandisi wa ujenzi njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji...
  5. k29

    Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

    Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu. ElSewedy Electric Co The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from...
  6. MIMI BABA YENU

    SADC yamuunga mkono Rais Dkt Magufuli ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme Rufiji

    Ujenzi wa mradi wa umeme katika Mto Rufiji umetajwa kuwa wa mfano katika nchi za SADC na nchi wanachama wa Afrika Mashariki wa EAC, kutokana na namna Serikali ilivyoamua kuusimamia. Akizungumza katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar leo na Wanahabari ...
  7. Roving Journalist

    Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara

    Leo Julai 26, 2019 Mhe. Rais Magufuli atakuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi la mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji Rais Magufuli aliwasili Rufiji akitokea Dar es Salaam akitumia treni ya reli ya TAZARA kwa kupitia Fuga na Kisaki UPDATE: Waziri wa Nishati, Medard Kalemani...
  8. GENTAMYCINE

    Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

    " Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu...
Back
Top Bottom