Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.
Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati...