MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024
📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu
📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa
📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba.
Lengo kuu ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula na mahitaji binafsi ikiwa ni...
Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
Baada ya Steven Byabato kuupata uwaziri, aliacha kabisa kupokea simu kutoka jimboni kwake. Akaanza kufurumusha maghorofa Mwanza na kwingine, akasahau palipompatia kura. Sasa uwaziri umekwenda, na uchaguzi umekaribia. Bila shaka wapiga kura watampokea na kauli ya UbayaUbwela. Huku kuna Chief...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba, usiku wa Julai na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo.
Wafanyabiashara wa soko hilo...
Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi.
Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
Nimeiona video ya Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato anaonekana akilia mbele ya hadhira ya mkutano mmoja kule Bukoba.
Sauti yake pia inatembea katika mtandao wa WhatsApp akisikika kama analia wakati akidai anahujumiwa ili asiweze kutekeleza ahadi zake za 2020. Muda unaenda kasi na ahadi...
Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI.
Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini.
Kupitia Kikao Hicho Mhe...
NAIBU WAZIRI BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI NCHINI NAMIBIA
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano kati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Namibia uliofanyika Jijini Windhoek, Namibia tarehe 10 Machi 2023.
Pamoja na mambo...
MHE. STEPHEN BYABATO AWAHAMASISHWA WADAU WA NISHATI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI
Wadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 Petroli yanayotarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Mei mwaka...
Katika manaibu Waziri ambao nikiwaangalia naona taifa Lina hazina ya uongozi, ni hao vijana wawili, natamani waendelee kupata mentorship ya kiuongozi, wajibidishe kwa wananchi waliowapa kura, hao ndio base yao, na watanzania kwa ujumla.
Uongozi wa kitaifa uwalee na kuwapa mafunzo ya aina...
Tumeona ukiutangazia Umma wa Watanzania kwamba kasi ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere. umefikia zaidi ya 80%. ni jambo zuri kabisaa. Lakini umefunika kitu kimoja muhimu sana hapo.
Kulingana na mkataba Original, kuna kifungu kinatamka kwamba.
Mkandarasi atalazimika kulipa fidia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.