cadillac escalade

  1. Waufukweni

    Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
  2. Maria Nyedetse

    The Royal Tour (Tanzania) - itazame hapa bure

    Kama hujapata bahati ya kuiona filamu ya Tz Royal Tour ni hii hapa. Enjoy. Utajifunza mengi
  3. officialBossmtoto

    Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

    Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia. Kwa namna yeyote ikitokea negative impact sio kwa Pande hizo mbili, bali ni direct kwa Diamond At this point kuna mawili 1) Kama...
  4. Franky Samuel

    Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hili ndilo gari jipya la diamondplatnumz. Ni Rolls Royce 2021. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika inatajwa kuwa gari hili limeingia Tanzania siku za hivi karibuni Inasemekana gari hili Rolls Royce 2021 imemgharimu #Diamond zaidi ya Shilingi Bilioni Moja za...
Back
Top Bottom